Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Ukisikia paaa.....
Sasa si kauziwa dukani au kichochoroniMPWA DARASA HULIJUII CHUIO KIKO KRKOO
MWISHOO WAMATATIZOO
Mtu ameliwa tayariToa habari kamili, anafanyaje?
Toa habari kamili, anafanyaje?
MKUU. MIMI NILIIBIWA LAKITANO NA MSHIKAJI ALIPATIKANA BAADA YA MIEZISITA NEVER GIVEUPWajumbe salaam,
Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.
Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.
Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
Dah...ni sahihi. . Lakini ukweli Unabaki pale....Tamaa ya kupenda vya bure na Kutapeliwa ni nduguTunaposhare info..... Kuwa appreciative..... Tungeweza kukaa kimya wengine wangeumia zaidi....

Dah... Na wewe ulitapeliwa?hivi mbona hukutokea pale tulipoahidiana wewe

amekutapeli nini, au unamaana kwamba anawatapeli dstv?Wajumbe salaam,
Kuna mtu anaenda kwa jina la Manase Jackson anatumia tigo no. 0717915787 na no. 0676358855 ( mpk jana no. Zote zilikua hewani). Anatapeli watu kwa kudai anawaunganishia vifurushi vya dstv kwa gharama nafuu. Anafanya configuration za channel mbalimbali kwenye dish lako ikiwemo bein sports etc.
Watch out people, ni tapeli mkubwa na wa kimya kimya.
Vyombo husika kama mpo chukueni hatua. Ntawasaidia kupata ushahidi wa kufunga jela mbwa kama huyu. Hatuhitaji watu kama hawa dunia ya leo.
weka basi hata picha ttumjue kwa kinaWajumbe salaam,