Yupo jamaa mmoja anapitapita hapa jijini Dar akisimulia masuala ya Free Mason. yeye alijitambulisha kama Mlokole kutoka Kenya. Jana alikuwa kariakoo. Nilijaribu kumslikiza kidogo. kwa vile huwa nasikia watu wengi wakisema haya mambo nikaamua kununua Cd ili nipate undani wa haya mambo. kufika nyumbani na kuzifungua zile Cd nikagundua hazina kitu yaani alikuwa akiuza cd tupu. yapuuzeni haya matapeli View attachment 95192
KAMA UNATAKA KUJIUNGA ANGALIA HII LINK:Freemason Network Home - Freemason NetworkYupo jamaa mmoja anapitapita hapa jijini Dar akisimulia masuala ya Free Mason. yeye alijitambulisha kama Mlokole kutoka Kenya. Jana alikuwa kariakoo. Nilijaribu kumslikiza kidogo. kwa vile huwa nasikia watu wengi wakisema haya mambo nikaamua kununua Cd ili nipate undani wa haya mambo. kufika nyumbani na kuzifungua zile Cd nikagundua hazina kitu yaani alikuwa akiuza cd tupu. yapuuzeni haya matapeli View attachment 95192
Siyo yule dogo Mrefu mwembamba?.....!
Anajinadi kuwa alikuwa freemason sjui wakamchukua wakampeleka wapi...urongo mtupu, hata hao freemason wenyewe hawajui ni msanii tu. Ukitaka kujifunza mambo ya freemasonry mtafute Mzee Chande!
Kwenye wajanja wengi wa mjini lazima pia kutakua na wajinga!Yupo jamaa mmoja anapitapita hapa jijini Dar akisimulia masuala ya Free Mason. yeye alijitambulisha kama Mlokole kutoka Kenya. Jana alikuwa kariakoo. Nilijaribu kumslikiza kidogo. kwa vile huwa nasikia watu wengi wakisema haya mambo nikaamua kununua Cd ili nipate undani wa haya mambo. kufika nyumbani na kuzifungua zile Cd nikagundua hazina kitu yaani alikuwa akiuza cd tupu. yapuuzeni haya matapeli View attachment 95192
Mambo ya Mujini. Unaweza kuuziwa kiwanja selander bridge