Tapeli anaedai anauza kuku aina ya kuchi

Mjamii

JF-Expert Member
May 27, 2009
1,027
312
Jamani jihadharini na mtu anaedai kupitia gazeti la nipashe na kwenye whatsap kuwa anauza kuchi na ndege wa aina mbali mbali ni mwizi namba yake ni 0757 662401 kwenye registration kaandika Josepg Josephat ukimuuliza jina lake anadai anaitwa Alex Kitomari yuko Arusha kuweni macho
 
Kitomari...Hili jina sio geni kwenye utapeli wa bata mzinga kule Matangazo Madogo Madogo

Usimtumie mtu pesa ili akutumie mzigo..Ni bora ukammtuma mtu unaemjua akakuchukulia
 
Duuh kitomari ametoka kwenye kutapeli bata mzinga saivi ameingia kwenye kuchi
 
Bila shaka huyu kitomari atakuwa kajijenga sana make ni kitambo amejihusisha na hii biashara haramu!
 
Jamani jihadharini na mtu anaedai kupitia gazeti la nipashe na kwenye whatsap kuwa anauza kuchi na ndege wa aina mbali mbali ni mwizi namba yake ni 0757 662401 kwenye registration kaandika Josepg Josephat ukimuuliza jina lake anadai anaitwa Alex Kitomari yuko Arusha kuweni macho
Kakutapeli nini??
 
Asante kwa taarifa!Wadau tushirikiane kuwaumbua wapuuzi wa namna hii,kwani ndo wanaotuharibia biashara za mitandaoni,wanasababisha biashara hizi zionekane za kitapeli.
 
Jamani jihadharini na mtu anaedai kupitia gazeti la nipashe na kwenye whatsap kuwa anauza kuchi na ndege wa aina mbali mbali ni mwizi namba yake ni 0757 662401 kwenye registration kaandika Josepg Josephat ukimuuliza jina lake anadai anaitwa Alex Kitomari yuko Arusha kuweni macho
Fafanua utaperi wake uko vipi sio kuchafua watu bure. Mimi naweza kusajiria hata kitambulisho cha mjomba huku jina langu likiwa haliambatani na kitambulisho/walivyonisajiri. Tukifahamu namna anavyotaperi hapo ndipo tumhukumu na kama kuna mtu kateperiwa humu Jamiiforum.
 
Utakuta bado ni kijana tu mwenye afya. Si afanye kazi tu apate kipato cha halali? Ujanja hausaidii mwisho wake mmbaya
 
Mkuu huyu jamaa kama kweli kawapiga watu basis kawatandika maana kitambo Sana analalamikiwa!ila hao wanao pigwa ni maboya au maana haiwezekani kutwa mtu anapigwa tu iaije ikawa style ya kuchafuana tu

Back
Top Bottom