Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

Tapeli amemuibia simu mke wangu na kulaghai watu

Wewe ndo ujitahidi kusoma uelewe.
Kama ange activate security features ZA simu/simcard yake huyo mwizi angewezaje kupata contacts za kwenye simu/simcard iliyoibwa.!?
contacts hazijahifadhiwa kwenye simcard
 
Mtoa mada acha ujinga, simu ikipotea au kuibiwa jambo la kwanza na la haraka ni kublock laini zako ili zisitumike. Utaratibu wa kublock laini ni rahisi sana kwani inahitajika copy ya kitambulisho chako tu. Baada ya hapo ndo unatoa taarifa polisi ili kurenew laini yako...wakati mwingine kupigwa mnataka wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
soma vizuri mada yangu kwa sababu hizi si nokia za tochi ukasema mambo nirahisi rahisi tu. kwani uliambiwa anatumia line zile zile nilisema anatumia line yake. nina uwezo mpaka wakuiroot simu.
hayajakukuta ndio maana unasema ivo.
 
nimesema anatumia line yake anachotumia kwetu ni contacts tu, angekua anatumia line yetu ingekua kesi rahisi sana io
Pole hata mimi yamenikuta ila ni Fundi simu kanibadilishia Handset kanipa ya jamaa mwingine, simu yangu imeenda na contact zote, picha na mafaili.
Leo kuna moja ya contact wangu kaniambia umebadili namba? sikumuelewa sasa naamini kuna kamchezo
sijui nianze na fundi simu au Polisi
 
nahisi anza na fundi ukiona majibu yake hayaridhishi ndio uende polisi
 
Back
Top Bottom