Tanzia

Tanzia

pole sana mkuu fiat, baba apumzike kwa amani.

maziko yanawahusu wanandugu pekee?

location!!!!!!!

samahani kama nime/tumejipendekeza.
 
Raha ya milele umpe ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani!Amina.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wakuu nimempoteza Baba yangu mzazi.R.I.P Baba.

Pole Sana Mkuu na Nakuomba Jikaze na Shikamana na Kikubwa tu Tumuombee Baba Amani Ya Milele na Mwenyezi Mungu Awape Rehema Wewe na Wana Familia Wako Wote na Tupo Pamoja ktk Kipindi Hiki Kigumu. Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe. Pole Sana Mkuu!
 
Pole sana mkuu. MMUNGU akupe ujasiri katka kipindi hiki kigumu.
 
Our prayers with you and the entire family over this great loss, may The Lord comfort you in ways no human being can. Keep to trusting, as life goes on
 
pole sana mungu akupe subra na nguvu za kuukabili huu mtihani
kumbuka sio wewe pekee ulie ondokewa na baba mpendwa tuko wengi
cha msingi uwe na iman subra na umuombee mzee wako alale mahari pema..
 
Pole sana FIAT, Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom