Tanzia

Tanzia

Mwenyezi Mungu naomba uipumzishe kwa amani roho ya Baba yake na Fiati.

Tiba
 
Pole ndugu, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu. May his soul rest in peace
 
Nadhani kuna umuhimu wa JF mods kuweka kitufe cha "Sorry". Maana info kama hizi za tanzia huwa najisikia vibaya kubofya LIKE.
Pole sana ndugu Fiati.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyezi Mungu Amlaze pema....Poleni wafiwa.... Sote tutafuata njia hiyo !!
Pole sana.
 
Pole sana kiongozi hayo yote ni majaaliwa ya mwenyezi mungu.
 
Back
Top Bottom