Tanzia

Tanzia

pole sana bwana Fiati mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu wetu FIAT na hakika tu pamoja katika kipindi hiki kigumu cha majonzi ya Baba yetu na ninachoweza kusema ni kwamba tumtakie kila la Kheri na Bwana wetu ampe pumziko la milele shambani mwake! Milele na milele!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mkuu FIAT
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuu, roho ya marehemu ilale mahali pema peponi, amina.
 
RIP Mzazi wetu.... Poleni Wafiwa na Mungu awafariji.
 
Pole sana FIAT Mungu amlaze mahali pema peponi AMEN.
 
Last edited by a moderator:
pole sana ndugu na familia yako. Lala salama Mzee
 
Wakuu nimempoteza Baba yangu mzazi.R.I.P Baba.

Raha ya Milele Uwape Ee Bwana, na Mwanga wa Milele Uwangazie, marehemu wote wapumzike kwa amani. Amina.

"pole sana mkuu"
 
Wakuu nimempoteza Baba yangu mzazi.R.I.P Baba.

Kwa hiyo sasa sisi tufanyeje? Kwani hauna ndugu na marafiki wa karibu mnaoweza kupigiana simu mpaka uje kututangazia humu? Si uwapigie Simu ndugu na jamaa zako waliokuwa wanamfahamu Marehemu? Sisi wengine hatukumjua Marehemu, hivyo unapoteza muda tu kutuambia na kututangazia...
 
Back
Top Bottom