Tanzia

Tanzia

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,770
Reaction score
4,856
Wakuu nimempoteza Baba yangu mzazi.R.I.P Baba.
 
pole sana ndugu. Mungu Wetu Mwenye Rehema Ampumzishe Kwa Amani. Amina.
 
R.I.P. Baba nasikitika umeondoka kabla hatujamaliza mchakato wa katiba mpya.
 
Poleni sana kwa msiba wa baba; Mungu awafariji na kuwatia nguvu... May he rest in Eternal Peace.
 
pole sana mkuu R.I.P baba Mungu akulaze pema.
 
Pole sana mkuu Fiati na familia nzima kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom