Tanzia

Tanzia

Pole sana mkuu

Utapata mwingine usikate tamaa
 
Nawashukuru kwa ujumla wenu wote ambao mmeguswa na hili na kuungana nami kwa kunipa pole.
Mungu awabariki zaidi na zaidi
 
pole best kwa kuondokewa na mtoto wakko Mungu atakupa mwingine na afanyike faraja kwako
ahsante ladyfurahia,maana ametuambia tumshuku na kumtukuza kwa kila jambo.
Nashukuru kwa ujumbe wako pia
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom