TANZIA: Waziri Mkuu mstaafu awamu ya nne mh. Mizengo Pinda afiwa na baba mzazi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Waziri mkuu mstaafu mh. Pinda amefiwa na baba yake mzazi mzee Xavery Mizengo Pinda kilichotokea siku ya leo saa 9:30 alasiri hospitali ya mkoa Dodoma.

Mzee Pinda amefariki akiwa na umri aa miaka 90.

tmp_29565-Screenshot_20161127-204541407732695.jpg
 
Mungu amtie nguvu katika kipindi hiki kigumu...
Ailaze roho ya marehemu mahala pema....
Pole kwa mfiwa na wote walioguswa na msiba huu...
 
On behalf of my self and of the people of jamiiforum , we need to give out our deepest sympathies for the family of our retired PM
Msameheni huyu mzee sasa hivi ana stress za dogo kukikwaa kisiki UDOM ,mama sijui yupo kwenye maombi huko kwa Joshua ,bado ajira hazijatoka ,kuna wanaobomolewa nyumba ,tetemeko Kagera,maono ya nabii Lema ..Walahi huyu lazima adate soon kama ataendelea hivi
 
Back
Top Bottom