TANZIA: Waziri Mkuu mstaafu awamu ya nne mh. Mizengo Pinda afiwa na baba mzazi

Wewe hakuna binadamu asiye na stress kwenye dunia hii hata kama anakula mana na asali ,usitake kujifanya msemaji wa Jumaa

Halafu ulichokiona hapo ni hilo la Mwanae ku disco ? Vipi maono ya Lema hayampi Stress ?
Huyo lema anayea ndoo saa hizi atampa nani stress.Bavicha mpo too low.Mnajadili maono!kuishiwa kubaya sana
 
Waziri Mkuu anaitwa Mizengo Kayanza Peter Pinda. Baba yake anaitwa Xavery Mizengo Pinda.

Age difference baina yao ni 22 years.

R.I.P grand .
 
Huyo lema anayea ndoo saa hizi atampa nani stress.Bavicha mpo too low.Mnajadili maono!kuishiwa kubaya sana
Wewe jifanye hamnazo tu ni kibarua chako cha buku 7 unatetea hivyo nakuelewa ..teh teh eti anampa nani Stress kama hampi stress anapambana naye wa nini ? Unafanya mchezo nini na watu uliotegemea wakuombee halafu wanapata maono ya kwamba utakataa ugali ?
Mpaka Hakimu akakataa kutoa mdhamana kwa Lema kisa mke wa jamaa hajatoka hospital
 
Poleni sana wafiwa, pamoja na ndugu, jamaa na marafiki poleni sana....Every soul shall taste deadness......
 
Wewe jifanye hamnazo tu ni kibarua chako cha buku 7 unatetea hivyo nakuelewa ..teh teh eti anampa nani Stress kama hampi stress anapambana naye wa nini ? Unafanya mchezo nini na watu uliotegemea wakuombee halafu wanapata maono ya kwamba utakataa ugali ?
Mpaka Hakimu akakataa kutoa mdhamana kwa Lema kisa mke wa jamaa hajatoka hospital
Mnamshabikia lema nyuma ya keyboard,wanawe hawajamuona mwezi sasa,Lema akibahatika kutoka hatakaa arudie tena huo upuuzi wake,usifanye mchezo kupumuliwa na mtu ana TB anakohoa usiku kucha,chumba cha watu wawili mpo hamsini.Msicheze na serikali unaona yule mzee wa TRA kalilia dhamana wee,mwisho kaamua kutulia tu,
 
Wewe unamshabikia Jumaa mbele ya keyboard ? Usifanye mchezo na kuambiwa unadanja wewe dunia tamu hii ..Serikali ipi unayosema isichezewe ? Hii ya EPA,ESCOROW,LUGUMI,KIWIRA ,RADA ,RICHMOND NDEGE YA RAIS ,UJANGILI ,NA TWIGA KUPANDA NDEGE ?
 
Tayari umeshahamisha magoli
 
Back
Top Bottom