waislamu wote wangekuwa sawa na wewe nchi hii ingekuwa mbali kiuchumi, kijeshi, kijamii na kisiasa, lakini kwa vile mashehe wapenda ubwabwa na wali wa maulidi ni wengi ndiyo maana tumefikia hapa tulipo!
Tuambie alikuwa na miaka mingapi?
Sina cha kujipendekeza kwao kwavile hawana cha kunipa lakini haitatokea hata siku moja ktk maisha yangu nikatetea watu kama Sheikh Ilunga, Al Shabab, Boko Haram na wengine kama hao! Kama adhabu yangu itakuwa ni kutupwa motoni, am ready to take the chance kuliko kutetea ujinga!!
Kwamba Uislamu unatukanwa mimi nafanya nini; labda nikuulize ulitarajia nifanye nini... kwahiyo ulitaka nami nifunge kibwebwe nianze kutukana Ukristo ili kuwaaminishia nyinyi kwamba nami ni Mwislamu safi... unafiki si ada yangu! Humu jamvini si mara moja wala mara mbili, nimeshapata hadi kuhitilafiana na watu wanaokashifu Uislamu, lakini naangalia mazingira! Haiwezekani mimi niwatetee wauaji kwa jina la Uislamu kisha mtu autukane Uislamu halafu mimi nije juu... na ndio maana hata kwenye Koran imesemwa wazi, usiwatukanie dini yao wasije wakaitukana dini yako. Lakini yote kwa yote, wakati unaamini kwamba najipendeza kwa hao unaowaita makafiri, jaribu kwanza kuisoma Signature yangu ndipo utabaini NasDaz ni mtu wa aina gani!
waliwahi kukubokoa nini?
Na aliyekwambia yule aliyelaaniwa Nyerere ndio kaniletea uhuru ni nani?
We unahabari wazee wetu wa kiisalmu ndio waliomfundisha huyo nyerere kuvaa suruali!?
Nyerere angekuwa kaniletea mimi uhuru basi ningehama nchi nikajiunge na ndugu zangu boko haram!
Hhahahaha, Kahtan umeanza kukomaa na mwislam mwenzio NasDaz, Nazdaz kaona mbali, yeye hakuna kuunga mkono UGAIDI kama wewe.
unatumia kigezo gan kusema ilunga na boko haram wanafanana??
acha oungo wewe
Wala usisumbuke kunihifadhi... we sema tu ili kila mmoja afahamu kwa maana mwenye kutoa hukumu ya haki kuhusu NasDaz ni mtu wa namna gani ni Mungu peke yake. Narudia, ni Mungu peke yake kv yeye ndie anaefahamu matendo ya nafsi yangu!! Naweza kusimama hapa na kumtetea kwa nguvu zote Sheikh ILunga huku nikitaka nionekane napigani dini kwelikweli... lakini siku ya siku ni Mungu peke yake atakayefahamu ikiwa ninachokipigani ndicho true reflection of my heart!
AaahYashakuwa ya Nyerere tena?! IKiwa unataka kufahamu maoni yangu kuhusu Nyerere, humu jamvini nilishapata kuongea... simkubali Nyerere lakini simkubali si kwa sababu ya Ukristo wake bali kutokana na vile ambavyo alitawala... kimsingi, nilizungumzia utawala wa Nyerere ambae nilimweka kwenye kundi la viongozi wabovu kabisa kupata kutokea hapa Tanzania huku nikimweka mizani moja na Ally Hassan Mwinyi; Mwislamu mwenzangu!!!
Nimemsikia pia kupitia BBC kasema katumwa na mungu..
Mwanamme kujiita Kakende ni kuwafahamisha wenzake kuwa yeye KAHASIWA!
Na aliyehasiwa mara zote anakuwa ni chaakula!!
Hebu tazama huyu mwenzako huku!
Eti MUME WA MCHUNGAJI kampa talaka MUMEWE .
teh teh teh! Jamani hawa WAKRISTO NDIO WANAOTUSABABISHIA SUNAMI!
Gay US bishop Gene Robinson to divorce husband
- Gay bishop Gene Robinson to divorce BBC News - Gay US bishop Gene Robinson to divorce husband
Wewe ni mfano wa wale wanaoitwa "AD DAYYUS"!
Sasa mimi sitaki kuwapa faida MAKAFIRI! we katafute maana ya Dayus utafahamu nina maana gani!
Nakuskitikia sana! Angalia tu ndugu yangu usunyweshwa yale madamu ya kakobe! Hao wagalatia wachawi sana!
Huna akili ndo mana huelewe .....bulkhead.
ilunga=boko haram+alshbab
ilunga=boko haram+alshbab
Sawa wewe genius unayemwamini aliyetabiriwa utume na mganga wa kienyeji. ALLAH anayeruhusu binadamu kumuua binadamu mwenzake huwezi kumfananisha na MUNGU WETU WA UPENDO
nazdaz, uko sahihi kabisa. Hata sisi wakristu tumekatazwa kuhukumu maana anaejua uchafu wetu ni mungu,james 4:12 there is only one lawgiver and judge, the one who is able to save and destroy. But you--who are you to judge your neighbor?. Tatizo kahtaan anasumbuliwa na roho wa mauaji na mpenda damu. Wewe ni mwislam swaafi
Hivyo hivyo unaweza kukesha JF unamponda Ilunga kumbe hakuna ukifanyacho.Wala usisumbuke kunihifadhi... we sema tu ili kila mmoja afahamu kwa maana mwenye kutoa hukumu ya haki kuhusu NasDaz ni mtu wa namna gani ni Mungu peke yake. Narudia, ni Mungu peke yake kv yeye ndie anaefahamu matendo ya nafsi yangu!! Naweza kusimama hapa na kumtetea kwa nguvu zote Sheikh ILunga huku nikitaka nionekane napigani dini kwelikweli... lakini siku ya siku ni Mungu peke yake atakayefahamu ikiwa ninachokipigani ndicho true reflection of my heart!