Soma hizi aya zinaelezea wasifu wa mabikra, zinasema wana macho mazuri Al-Quran 44:54
Quaran 78:33. Idadi kamili ya mabikra inapatikana hapa. hadith 2687
Ni mkongomani mmoja alikua anawashwa sana aone watanzania tunauana kwa kutumia dini....Ni yupi huyu, tafadhali picha kama iko maana wengine hatumfaham! Poleni sana wafiwa, Mungu awatie nguvu
Allah Amsamehe makosa yake na amuweke katika bustani za peponi.
MKUu huyo unayejibizana nae anaonekana ni mtu mzima kwa avatar yake mpe heshima yake hata kidogo..
Huyu MPINGA KRISTO sehemu yake ni kwenye ziwa liwakalo moto wa milele
Huyu jama si ni yule aliyekuja hapa Kenya na kuwashauri waislamu wawaue ma-padre. Aha!! kumbe hata nao hufa. Sasa huyu hatapata faida ya mabikira maana hakufa kwa risasi.Habari nilizozipata punde ni kwamba ustadh Ilunga Hassan Kapungu muasisi wa maneno mfumo kristo Tanzania amefariki dunia kwa ugonjwa wa kisukari na baadae figo zake kushindwa kufanya kazi.
Swala ya maiti itaswaliwa msikitini wa Kichangani-Magomeni na atazikwa Leo.
Innalilahi waina Ilaihi Rajiuun.
===============
UPDATE:
Sheikh Ilunga aliyefariki Dar es Salaam, anatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Mwinyimkuu yaliyoko Magomeni Mapipa.
Maiti yake itasaliwa katika msikiti wa Kichangani, Magomeni - Dar es Salaam katika sala ya Alasiri saa kumi jioni.
Sheikh Ilunga ambaye alikwenda nchini India kwa matibabu, aliwahi kukamatwa na Ppolisi na kufunguliwa mashtaka kwa tuhuma za kutoa mahubiri ya uchochezi.
Msiba wake upo Mbezi - Goigi, jijini Dar es Salaam.
Soma hizi aya zinaelezea wasifu wa mabikra, zinasema wana macho mazuri Al-Quran 44:54
Quaran 78:33. Idadi kamili ya mabikra inapatikana hapa. hadith 2687
SILENCE KILLER imemshughulikia kwani angeuawa ghafra kama yule wa Kenya kungejitokeza maswali mengi
huu ndio ushahidi wa yale aliyokuwa akiyasema