Tanzia tanzia

Poleni sana.
 
Watu wana uchungu,
waliondokewa na wapendwa wao,
jf hawakupewa rambi rambi,
ni heri tu uurudishe pengine kuna watakaoona hii.
 
Duh!!
Shikamoo mkuu kama umemaliza fos huo mwaka
 
Wifi...khaaa sikujua.
Nimeona mtu katoa pole, nami nimefatisha tela bila kusoma mwaka.
Kumbe 2011?
Duhhhh!!!!
Wifi kaka yako MO11 tangu iishe Idd hajarudi.
espy sio mtu mzuri kwa kweli
uwe unasoma kwanza bhana... huyu kaka inabidi tufanye maarifa utatelekezwa hivihivi
jamani tupo msibani sio pa kuyaongelea humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…