Tanzia: Smile afiwa na mama yake mzazi.

Status
Not open for further replies.
Pole sana bi SMILE, Mungu wetu tunayemwamini atakupa uvumilivu katika kipindi hiki. Kigumu. Pole sana
 
Mungu akujalie wewe na wanafamilia wote ujasiri wa kuvumilia uchungu huu mkubwa. Poleni sana Smile!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana smile
mungu akupe nguvu na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu kwako
be strong...
 
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe, pole sana my dear smile
 
Pole Smile .R.I.P mama mpendwa
Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na mpendwa mama..
 
Last edited by a moderator:
Ni kipindi kigumu muumba awape nguvu.......mama alazwe pema peponi

Pole sana Smile
 
Pole sana Smile. Mwenyezi Mungu amrehemu na kumpumzisha mahala pema peponi.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana,Smle.Mungu awe pamoja nanyi katika msiba mzito;na kuzidi kuwafariji!Tuko pamoja.
 
Pole sana Smile!!! Mungu akupe tulizo katika kipindi hiki kigumu. Tunakuombea. Rest in peace mama Smile.
 
Tulimpenda sana Mama Smile, lakini Mungu alimpenda zaidi,, basi wapendwa WanaJF, No. za cmu zimewekwa hapo, tujitahidi kutupia chochote(M PESA) , itamsaidia ktk kipindi hiki kigumu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…