Tanzia: Shekh Nassor Bachu amefariki!

Status
Not open for further replies.

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun! (hakika kwake tumetoka na kwake tutarejea!) na kila nafsi itaonja mauti!

Kwa taarifa za kuthibitika hii leo zinaeleza kuwa Sheikh maarufu wa Zanzibar Shekh Nassor Bachu amefariki hii leo.!
Sheikh alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu na hivi karibuni alipelekwa India kwa matibabu lakini hali yake haikuwa na afueni yoyote.

MOLA AMLAZE PEMA PEPONI. AAMIN

Written by
http://mzalendo.net/habari/shk-nassor-bachu-amefariki.html

---

UPDATE - TAARIFA MPYA:
Februari 14 - 2014 Umati mkubwa ahudhuria maziko ya Mwanazuoni Sheikh Bachoo


766988117.jpg


985370875.jpg


334878782.jpg
 
Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun..r.i.p sheikh,mwenye rehema ni mwenye huruma na msamaha,atakufikisha kwenye mito ya nyama na maziwa inshallah
 
vipi masuala ya muungano alikuwa anasimama upande gani....waislam watakuwa wamepoteza lulu hakika..
sijawahi kumsikia akizungumzia muungano.mara nyingi mimi huwa nilikuwa nanunua cd zake kuhusu mambo ya ndoa tu.
 
Acha utani kwenye Mambo ya Huzuni!!

Cjaleta utani huo ndo wasifu wa marehemu nenda kwenye fb page ya uamusho ili upate ufafanuzi zaidi,kwani zambi kuwa na wake wa3 na watoto 15???we ndo unaleta utani!!!
 
Rest in peace Shekhe!! Tuombee amani kati ya waislam na wakristu huko uendako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom