Kama unaonea aibu Ukristo wako ina maana unacheka nao ukitazamana nao usoni na kuwang'ong'a wakikupa kisogo.huo ni unafiki sio Ukristo.
unao wajibu wa kuhubiri habari njema kwa kila kiumbe.
Yesu Kristo akubariki...
Nawe usifikiri unafiki ni.sehemu ya Ukristo. kama kuna mkristo anapretend kwamba mambo ni saea tu ni mnafiki.
tunao wajibu wa kuhubiri habari njw ( INJILI) Kwa watu wote.
Nawe usifikiri unafiki ni.sehemu ya Ukristo. kama kuna mkristo anapretend kwamba mambo ni saea tu ni mnafiki.
tunao wajibu wa kuhubiri habari njw ( INJILI) Kwa watu wote.
Ndio maana toka mwanzo nimekuambia fundisha neno ila usihukumu........kuwasaidia kwa kuwafundisha ni vizuri kuliko kuwahukumu....ukimuhukumu mtu imekusaidia nini????.....
Na kama ingekua nauonea aibu ukristo wangu sidhani kama ningesema hapa........ukitaka kuendelea kubishana sawa.mimi nimemaliza
Kama unaonea aibu Ukristo wako ina maana unacheka nao ukitazamana nao usoni na kuwang'ong'a wakikupa kisogo.huo ni unafiki sio Ukristo.
unao wajibu wa kuhubiri habari njema kwa kila kiumbe.
Yesu Kristo akubariki...
Mkristo anaamini kristo atarudi tena kadhalika Muislam anaamini Issa bin Mariam atakuja kutoa hukumu ya mwisho sa huu usimba na Uynga ktk Imani unatoka wapii???