jmi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2015
- 532
- 468
Hadi uhamie ccm kama alivyosema Frederick sumayBora yake kakimbia mateso haya,
Wenzie tunaisoma namba sijui hadi lini
Hadi uhamie ccm kama alivyosema Frederick sumayBora yake kakimbia mateso haya,
Wenzie tunaisoma namba sijui hadi lini
OteaHivi UKAWA hawakuwahi kupata mkong'oto wake?
Na wewe utahudhuria?R.I.P. Kamanda ila Lissu asikose kuhudhuria hayo mazishi.
Sijui, ila kama alitoa Mkong'oto, ulikuwa wa uonevu, naye unamsubiri kwa Mungu, RIF au RIP?Otea
Naam, kwa kuwa ni jadi yetu kuwafuta majonzi wafiwa husasan sie watu wa IkungiNa wewe utahudhuria?
Unaogopa kifo ?Kila mtu atakufa kwa wema au kwa ubaya. Sasaunenda vitani kufanya nini km wewe ni mnafiki hivi? ASKARI WOTE HATA WAKIWA WALIKUTENDEA WEMA WAMEFANYA MABAYA KWA WENGINE WENGI SANA.ASKARI WOTE WA BONGO NI WAOVU.Siku mzazi wako akifa ukumbuke kauli yako hii
Lakini kama mwenye busara yeyote atakayesikia kifo cha mtu yeyote kwanza atawafikiria waliobaki. Only
mh! hayaREST IN FIRE
Yale mabunduki wanayorudiarudia kuyaonyesha kwaba majambazi sugu wameshikwa,sio habari nzuri kwa watu wenye ndugu.Tuache unafiki wakifa wajue tunafurahi,kizazi kingine kija na nafasi ya kupata watu walioanza kuanza hizo njia zao za kupanda vyeo.mh! haya
Concern yangu Nicholas ni kwamba yeye hayupo na wala hakusikii, zaidi unatuumiza sisi ndugu zake kwa comments kama hiziUnaogopa kifo ?Kila mtu atakufa kwa wema au kwa ubaya. Sasaunenda vitani kufanya nini km wewe ni mnafiki hivi? ASKARI WOTE HATA WAKIWA WALIKUTENDEA WEMA WAMEFANYA MABAYA KWA WENGINE WENGI SANA.ASKARI WOTE WA BONGO NI WAOVU.
Kwani kuna kibonyezeo cha dislike???Hivi watu humu ndani mnavyolike hata misiba huwa sielewi
RIP kamanda. Kumbe Kamanda Sodoyeka alishabadilishwa,ndiye niliyemjua kama RPC Sngd.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP Peter Kakamba, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua maradhi ya tumbo, Jeshi la Polisi limethibitisha.
Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, Mayala Towo amesema Kamanda Kakamba amefia hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
Taarifa iliyokuwa inasambazwa kupitia mtandao wa WhatsApp mapema asubuhi, ilimnukuu Inspekta wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu akisema: “IGP anasikitika kutangaza kifo cha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Peter Kakamba kilichotokea usiku wa saa nne katika Hospitali ya Muhimbili DSM.
Kamanda Kakamba alikuwa amelazwa hospitalini hapo kwa maradhi ya tumbo alikuwa amefanyiwa operesheni hivi karibuni.”
Kwa mujibu wa Towo, mwili wa marehemu Kakamba utawasili Singida kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda nyumbani kwao mkoani Rukwa kwa ajili ya maziko
Hadi uhamie ccm kama alivyosema Frederick sumay
MWILI UTOKE DAR UENDE SINGIDA URUDI RUKWA?
R.I.P. KAMANDA.
India hawafi mkuu?Du,ilishindikana kumkimbiza India!?R.I.P Kamanda