Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 5,008
- 9,209
And all say AimenOnly achievement we have to be proud in the end of this year is being ALIVE.
DON'T TELL US ABOUT YOUR DREAMS &PLANS
Source: Clouds FM
Huyu alikuwa Katibu wa kamati ya uchaguzi wa chama cha soka Morogoro.
Chanzo cha kifo hakijatajwa.
Jamani moderators baadaye mtafunguliwa mashtaka na jamii forums kufungwa vifo vya watu watangaze ndugu tu na waambatanishe cheti cha kifo .Kifo cha mtu ni kitu kizito .Source: Clouds FM
Huyu alikuwa Katibu wa kamati ya uchaguzi wa chama cha soka Morogoro.
Chanzo cha kifo hakijatajwa.
Kwani kuna aliyezushiwa ?Jamani moderators baadaye mtafinguliwa mashtaka na jamii forums kufungwa vifo vya watu watangaze ndugu tu na waambatanishe cheti cha kifo .Kifo cha mtu ni kitu kizito .
Msipokee matangazo kiholela
Tanzia: Jabir Hamza afariki duniaAcheni sifa za kijinga, mtaleta hadi Tanzia za mapapai sasa , aahh
Halafu ukipata taarifa itakuajeHamtaki tupate taarifa?Mnatakaje?
Umembiwa source clouds FM unataka nn tenaJamani moderators baadaye mtafinguliwa mashtaka na jamii forums kufungwa vifo vya watu watangaze ndugu tu na waambatanishe cheti cha kifo .Kifo cha mtu ni kitu kizito .
Msipokee matangazo kiholela
Tulia mkuu, siku ukitangaziwa tanzia utoe mashitaka polisiJamani moderators baadaye mtafinguliwa mashtaka na jamii forums kufungwa vifo vya watu watangaze ndugu tu na waambatanishe cheti cha kifo .Kifo cha mtu ni kitu kizito .
Msipokee matangazo kiholela
Labuda kushindwa kupumuaSource: Clouds FM
Huyu alikuwa Katibu wa kamati ya uchaguzi wa chama cha soka Morogoro.
Chanzo cha kifo hakijatajwa.
Kifo kutangaza anayeleta ajieleze yeye no Nani kwa marehemu na aweke hati ya kifo vinginevyo moderators waleta matangazo ya vifo wapigeni ban kama hawakidhi hivyo vigezoKwani kuna aliyezushiwa ?
Chombo chochote cha habari kikitangaza kifo husema wazi ndugu Fulani anatangaza kifo.cha mjomba wake kilichotokea nk na uthibitisho .Hata kama ka quote radio awe ndugu na aweke uthibitisho .Jamii forums ni chombo cha habari kama vingine principle ni ile ile hasa kwenye matangazo ya vifo