We nawe umezidi umbea, We kapambane na warumi, mambo ya Prof huyawez. R.i.PMhhhhh mimi nilifikini ni Prof. Lip***a!
R.I.P
Prof was chuo gani? Siyo kila mtu anamfahamu nchi Hii kuna maprofesa wengi.View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
Naon Umeanza zile tabia zetu za kule ..Miaka hiyo akiwa Asst Lecturer wetu FoE.
Dr Lwambuka ni wa ukoo wa Kamuzora wa Kanyigo.
RIP Prof Lwambuka.
Bongo chuo ni kimoja tu..so tukizungumzia chuo ujue ni UDSM vyengine ni voda faster tu ...Prof was chuo gani? Siyo kila mtu anamfahamu nchi Hii kuna maprofesa wengi.
Naon Umeanza zile tabia zetu za kule ..
View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
"Tukutane next period for more examples on friction"those were last words on friday Engineering mechanics session !View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
RIP Prof.Lwambuka, ''If you are stupid enough you can take a moment about the centre of the body''while there are other place in a given body are much simple to enable you to balance forces.View attachment 319151
Naamka asubuhi nawahi ofisini tayari kulitumikia taifa. Naingia ofisi ya mkuu wa idara na kukutana na hii habari ya masikitiko kuwa Prof. Lwambuka mtaalamu wa Structural Engineering na Mwalimu wangu wa Mwaka wa Kwanza....kafariki dunia.
Pumzika kwa Amani Prof. Lwambuka, sote tunjia moja.
hahaaa bending moment diagram na shear zilinipa taabu saanaRIP Prof.Lwambuka, ''If you are stupid enough you can take a moment about the centre of the body''while there are other place in a given body are much simple to enable you to balance forces.
Hi I pumba sasaBongo chuo ni kimoja tu..so tukizungumzia chuo ujue ni UDSM vyengine ni voda faster tu ...
Summation of the forces in y direction is equal to Zero, reason? use common sense..RIP Prof
mkuu pumba ipi hapo au ndio ukweli mchungu?Hi I pumba sasa