mambo ni mengi muda ni mchache,,acha tumzike mengi kwanza alafu tuyamalize ya mdude,turudi kwa gwajima,tumalizie kwa Kangi Lugola alafu ndio tumzike huyuuuMwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na alifanikiwa sana kwenye kuleta unafuu wa bei za nauli za ndege.View attachment 1092191
Aise nimecheka sana kumbe mambo ni mengi kweli. Usisahau jana tulimaliza la Barcelona.mambo ni mengi muda ni mchache,,acha tumzike mengi kwanza alafu tuyamalize ya mdude,turudi kwa gwajima,tumalizie kwa Kangi Lugola alafu ndio tumzike huyuuu
Apumzike kwa amaniMwenye taarifa zaidi atuwekee hapa, maana mm nimekutana nayo kwenye page ya Instagram ya mh Laurent Masha. Engineer Paul Chizi alikuwa mtaalamu wa mambo ya aviation, alikuwa kufanyakazi wa airtanzania na alifikia hadi level za mkurugenzi. Pia alikuwa mkurugenzi wa Community airline, na alifanikiwa sana kwenye kuleta unafuu wa bei za nauli za ndege.View attachment 1092191
Ana uzee gani? Na Malkia Uingereza utasemaje?Mzee umri ulishamtupa mkono R.I.P
Uache kukurupuka muda mwingine, sijasema kafa kisa kazeeka ila mtu akishazeeka wastani wake wa kufa unakuwa mkubwa zaidi.Ana uzee gani? Na Malkia Uingereza utasemaje?
Mtu hafi kwa sababu ni Mzee
Ugonjwa ndio unaua sio uzee..
Utaondoka na joni huu!!huu mwaka huu
Leo tumemalza na ajaxAise nimecheka sana kumbe mambo ni mengi kweli. Usisahau jana tulimaliza la Barcelona.
Hako kamsemo kako, 'mambo ni mengi....' kametumika sana ktk mitandao ya kijamii, sasa kameanza ku-bore!mambo ni mengi muda ni mchache,,acha tumzike mengi kwanza alafu tuyamalize ya mdude,turudi kwa gwajima,tumalizie kwa Kangi Lugola alafu ndio tumzike huyuuu
Kwa nini anaitwa chizi.
RIP