TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

Status
Not open for further replies.
hivi hawa gambas na kikundi chao cha kigaidi, GREEN GUARDS, ni lini wataacha ugaidi wao huu?
 
Namlaumu sana Lowassa kwa udhaifu wa kuwanyamazia CCM. Haya yote yanafanywa kwa kuendelea kuwa kimya. Nimeongea na rafiki yangu akiwa Katoro inasikitisha sana. Wamemuua mchana kama wanaua mwizi (gari mbili zikiwa na hao watu). Tapata wapi silaha jamani!!!?
 
Mbona watu wamekuwa kama wanyama pori WA Serengeti hawana hata ufahamu WA kibinadamu? Natumaini hao wahalifu watashughulikiwa na sheria r.i.p kamanda
mbona Tanzania imebadilika hivi??ndiyo Tanzania ile nayoifahamu mimi kisiwa cha amani na kuvumiliana au Ni nchi mpya hii ?? Uwiiiiiiii mpaka machozi yananitoka. Justice should prevail.
 
Alikuwa kwenye kampeni za kumnadi mgombea udiwani katoro, ndipo walipotokea vijana wa ccm wakawazidi nguvu red bregedia na kumpiga kamanda huyu mawazo

Hivi vijana wa CCM wako juu ya sheria? Mbona kama haki haitatendeka nchi itakwenda pabaya. Tukumbuke vita haitangalia nani yuko CCM au wapi. Jamani wazazi wawafundishe watoto wao maadili. Haiwezekani tukawa tunaimba amani huku tunatembea na mapanga kwenye suruali zetu. Haiwezekani.
 
Me niko katoro ambapo linatokea tukio likuwa mbali kidogo lkn ripoti kamili kamanda mawazo alikuwa anakikao na wachama wake kuhusu mawakala wa kusimamia uchaguzi hapo kesho wa diwani kata ya ludete wakiwa ukumbini gari 1 ilikuja na akatoka mtu mmoja na akaanza kuchukua video bila ya idhini yao dipo vurugu zilianza ikasemekana mtu huyu ametumwa na ccm kupeleleza wachokiongelea
 
WAllahi hii ni hatari cdm tumekosa kitu

Eeh allahu tabaraq wataala
Tuangazie nuru sie waja wako

Kwani kuwa. Mpinzani ndo uadui??

Eeh mola kila afanyae ubaya
Wajua yake DHAMIRI

Eeh mola fichua zao siri
Ukazifanye ziwe DHAHIRI



EEH MOLA WAANGAMIZE WOTE WAFANYIAO UBAYA BINADAMU WENZAO


KWANI KUA MPINZANI NI KOSA

MLIRUHUSU VYAMA VINGI ILI IWEJE

UCHUNGUZI UFANYIKE
HARAKA

MWENYEKITI WA CHAMA WA MKOA NI
KIONGOZI MKUBWA

MACHOZI YANITOKA
 
Mpaka kumwua mtu kisha ni mpinzani? Tanzania hatuna amani tunajifanya tu. Huu upinzani Geita ndiyo kwanza wameuotesha mizizi. Angalieni Arusha. Mungu ampumzishe pema.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom