PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,431
Nikweli dah
Kila NAFSI itaonja UMAUTI,na kifo kipo karne na karne lakini hakizoeleki.Taarifa imetoka simple sana lakini ndiyo ukweli
Pamoja na maiti ya marehemuulitaka aweke na machozi?
Eda ni mda ganiMuacheni akae eda kwanza
Yaani kweli wanavyosema ile siku ya ndoa kilichofungwa na Mungu binadamu hawezi kukivunja.Maskini kamfuata mke wake!
Amefariki kwa ugonjwa gani ?