Tanzia: Mwanajamvi afariki Dunia.

Rest in Peace our Wasaimon. Michango yako hapa jamvini itaendelea kuwanufaisha wengi wanaopitia hapa kama wageni na members kwa ajili ya jamii yetu kwa ujumla. Amani iatawale familia yake hasa mke na watoto wake.
 

Kamanda, nimejaribu kupitia mabandiko machache tu ya wasaimon, kwakweli alikua upande ule wenye nuru, probably only 5-10% ya wanaJF

he was positive, God fearing, blessed na wa kupeana moyo

Its a loss, hasa kwa wakati huu ambao JF imejawa zaidi na watu type yangu
 


Ama kweli sisi tu wasafiri tu! Hebu fika eneo la tukio utujuze yanayoendelea kwa ujumla! Ila kupitia mtandao inaonekana ni tarehe 14/01/2013
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki mungu awape nguvu kwenye kipindi hiki kigumu cha majonzi.
 
So sad ameacha mke na watoto 3, aise imeniuma sana kwani walikuwa bado wanhitaji sana kuwa na Baba yao Mungu awape ujasiri wa kukabiliana na hali hii.
 
Ciku zote tunatamani maisha mazuri ya baadae ambayo tumeahidiwa na Muumba wetu.. Japo miili yetu haiko radhi lakini roho ciku zote i radhi.. Mwenzetu ametangulia kwenye maisha mazuri tulioahidiwa.. Hatuna budi kumshukuru Muumba wetu kwa kutupa nafaci ya kuishi pamoja na mwenzetu.. Tunasema mapenzi yake Muumba yametimizwa..

Muumba na awape mioyo ya ustahamilivu na awape nguvu familia ya marehemu..
poleni sana wafiwa.. Poleni sana wana Jamii Forums..

Bwana alitoa.. Na Bwana ametwaa.. Jina la Bwana na lihimidiwe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…