Wadau nipo hapa, ukumbi wa kanisa umejaa mno. Watu ni wengi sana. Ndio napata hapa wasifu wa huyu mdau ambao binafsi sikuujua, inasemekana kuwa alikuwa hachagui mtu wa kuongea naye. Kwa ufupi ni kwamba hakuwahi kuwa na majivuno.
Nipo hapa na mkuu IGWE.Mkuu! Nina dakika chache sana kuwasili hapo mlipo! Nilikuwa mbali ila nimeshatinga town tayari na ndiyo moja kwa moja nakuja eneo la tukio!
Na bila shaka nitakuwa na Filipo; nampitia hapa kwa office yake!
Mtumishi Wetu; Amepata dharura kwani naye alipenda kuwa nasi ila ndiyo hivyo tena!
Mwili wa marehemu ndo unafika eneo la makaburi ya Njiro.Mungu ilaze roho ya nduguyetu rafiki yetu,mpambanaji mwenzetu Mahali pema peponi,namwanga wa milele umwangazie na astarehe kwa amen,natoapole kwa wanafamilia wote mungu awape nguvu na moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
Mwili wa marehemu ndo unafika eneo la makaburi ya Njiro.