TANZIA: Mwana JF amefariki dunia

Eeh Mungu wa rehema, fadhila zako ziwe pamoja na wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
 
R.I.P kanjunju...Sasa wengine tukifa nani atakuja kutangaza humu Jf..maana majina yenyewe feki watu hatijuani wala nini!
 
Kuna kichaa mmoja alikuja hapa last week akiuliza kwanini wana JF hawafi? shetani mkubwa yule RIP Kanjunju
 
Last edited by a moderator:

r.i.p kanjunju
 
pumzika kwa amani na kristo atakufufua siku ya mwisho
 
Ulichokisema ndio kilichotokea. Ni kweli kabisa na hata wazazi wa mwanaume kwanza hawakuhudhuria siku ya ndoa yao. Na hata alipofariki wazazi wake walikuja siku ya pili baada ya kuzika. Historia ya ndoa yao ni kuwa imedumu miezi minne tu kamili na kufariki dunia. Huenda baada ya maelezo haya wengi mtamjua.
 
Hakika yeye mbele sis nyuma Allah ampe mapumziko mema inslh.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…