SWALI:
Hivi ikiwa Wanaume watakaokufa wakiwa Waislam watakwenda kuzawadiwa Mabikira 72, je huyu Bibi wa watu yeye atazawadiwa nini?
Msaada kwa Waislam tafadhali.
View attachment 1249608
Hakika mzee Mohammed ni mtu ambae kweli unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakini naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa, unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira, Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.Heci,
Umeghadhibika.
Ungeandika kwa utulivu ningekujibu.
Kumuonesha nitamwonesha.Unaweza kumuonyesha hapo Bikira Maria??!, [emoji1787][emoji1787]
Ukafiri wako upoje, kwanza elezea ndipo tukujibu, mfano mtu anapoitwa mwizi ni lazima awe kaiba kitu fulani.
Kwahiyo huyo aliyejibiwa hivyo unafikiri ni Muislamu ?Yaani Muislam utamjua tu, sasa hapo unamwita mwenzio shwaini kisa nini?
Haya jilipue basi.
Huyu Bibi Bahia alitenda yapi mema kwa wasio Waislam katika enzi za uhai wake?Azarel,
Hilo swali liulize kwa lugha ya kiungwana nitakujibu.
Hakika mzee mohammed ni mtu ambae kwl unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakn naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa,unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira,Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.
Nani amekwambia mwanamke akiwa HEDHI hasomi Qu'aan au hasomeshi mambo ya Dini ?Bibi huyu alipokuwa HEDHI ni nani alishika mikoba yake?
Anajua Allah nini atakacho wapa ila wanawake wa duniani watakao ingia peponi watakuwa bora kuliko "Hurul 'ain" kama alivyosema Imaam Ibn Uthaymeen Allah amrehemu.SWALI:
Hivi ikiwa Wanaume watakaokufa wakiwa Waislam watakwenda kuzawadiwa Mabikira 72, je huyu Bibi wa watu yeye atazawadiwa nini?
Msaada kwa Waislam tafadhali.
View attachment 1249608
Kumuonesha nitamwonesha.
Hata Mtoto Aisha kabla ya kubikiriwa na Mtume Muhammad (S.A.W) pia yupo hapo.
We nijibu kwanza:
Je huyu Bibi yeye atapata zawadi gani Akhera ikiwa wengine watazawadiwa Mabikira 72?
Mkuu!!!Hata akiwa hedhini aliendelea kufundisha? Au siku za hedhi alimwachia Nani darasa?
Sheikh kazi unayo na pia usichoke, Mungu atakulipa kwa kutoa darsa bila khiyana. Usichoke, kadri dharau zinavyokuja, ndivyo Mwenyezi Mungu anakujaza majibu yenye hekima, busara na unyenyekevu wa hali ya juu. Hiyo ndiyo tofauti kubwa uliyonayo. Wengi wetu humu jukwaani tunajaa ghadhabu na pupa. Hapa sie wengine hupenda kusoma mada zako kwa kuwa pamoja na kuelimika lakini unatupatia darsa zuri la jinsi ya kukabiliana na ghadhabu, kejeli na dharau. Pia, wengine wetu hupenda kusoma na kufuatilia nyuzi zako ili tujifunze hicho ulichonacho, kinatoa mwanga mpevu. Hakika, Mungu aendelee kukupa umri na maarifa.Kichaa...
Kanumba kazikika lakini maiti yetu iliitikiwa si haba.
Mbassa,Hakika mzee Mohammed ni mtu ambae kweli unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakini naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa, unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira, Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.
Azarel,Huyu Bibi Bahia alitenda yapi mema kwa wasio Waislam katika enzi za uhai wake?
kafiri sio tusi, kafiri ni mtu asiyeamini katika uislamuAzarel,
Hilo swali liulize kwa lugha ya kiungwana nitakujibu.
Kwezisho,Sheikh kazi unayo na pia usichoke, Mungu atakulipa kwa kutoa darsa bila khiyana. Usichoke, kadri dharau zinavyokuja, ndivyo Mwenyezi Mungu anakujaza majibu yenye hekima, busara na unyenyekevu wa hali ya juu. Hiyo ndiyo tofauti kubwa uliyonayo. Wengi wetu humu jukwaani tunajaa ghadhabu na pupa. Hapa sie wengine hupenda kusoma mada zako kwa kuwa pamoja na kuelimika lakini unatupatia darsa zuri la jinsi ya kukabiliana na ghadhabu, kejeli na dharau. Pia, wengine wetu hupenda kusoma na kufuatilia nyuzi zako ili tujifunze hicho ulichonacho, kinatoa mwanga mpevu. Hakika, Mungu aendelee kukupa umri na maarifa.
akikujibu unitagSWALI:
Hivi ikiwa Wanaume watakaokufa wakiwa Waislam watakwenda kuzawadiwa Mabikira 72, je huyu Bibi wa watu yeye atazawadiwa nini?
Msaada kwa Waislam tafadhali.
View attachment 1249608
Poleni sna kwa Msiba mzito Mzee wngu naomba nisaidie kitu kimoja acha kuwajibu hao watt waliokoza malezi ya wazazi wao naomba sna achana nao kbs...Kwezisho,
Amin