Tanzia: Mwalimu Bahiya bint Abdulrahman

Heci,
Umeghadhibika.
Ungeandika kwa utulivu ningekujibu.
Hakika mzee Mohammed ni mtu ambae kweli unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakini naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa, unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira, Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.
 
Unaweza kumuonyesha hapo Bikira Maria??!,
Kumuonesha nitamwonesha.

Hata Mtoto Aisha kabla ya kubikiriwa na Mtume Muhammad (S.A.W) pia yupo hapo.

We nijibu kwanza:

Je huyu Bibi yeye atapata zawadi gani Akhera ikiwa wengine watazawadiwa Mabikira 72?
 
Wakrsito amri kuu ni upendo. Simjui huyu marehemu lakini imeagizwa nimpende jirani yangu.

Wanaokuja hapa kutukana siyo wakristo. Kwahiyo haya masikhara na dhihaka hawafanyi kwakua wao ni wakristo, hapana, ila wanafanya kwakua wana matatizo yao mengine.
 
Yaani Muislam utamjua tu, sasa hapo unamwita mwenzio shwaini kisa nini?

Haya jilipue basi.
Kwahiyo huyo aliyejibiwa hivyo unafikiri ni Muislamu ?

Wakristo mna matatizo sana,yaani mnayaona ya wenzenu yenu hamyaoni,ndio maana sifa ya uadilfu huwa hamna.
 
Hakika mzee mohammed ni mtu ambae kwl unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakn naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa,unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira,Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.

Naam, mashallah, ni Allah kamjalia awe hivyo nasi katika hali fulani tunapata nafasi ya kujifunza subira kutoka kwake.

Lakini wapo "the die-hard stubborns" hawa hawatakiwi kuachwa hivi hivi ni lazima "wapigwe" ili fahamu zao ziwarejee (restoring their senses ), hii ni sawa na kuwapa dawa chungu kutibu maradhi yao sio kila kitu kinahitaji subira na upole na hili ni fundusho la Qur'an juu ya kulipiza kisasi japo kusamehe kupo pia.---- leo watu wameacha mafundisho ya Yesu ya "ukipigwa kofi shavu la kushoto toa la kulia upigwe----"šŸ¤£šŸ¤£
 
Mungu amrehemu huyu mama pamoja na rafiki yangu Daniel Msigala tuliyemzika jana pamoja na marehemu wote waliotutangulia mwezi huu.

Ni njia yetu sote yale mema waliyofanya tuyaige mabaya tuyakatae ili siku moja na sisi tukitwaliwa tuweze kuuona uso wa Mungu.
 
Kumuonesha nitamwonesha.

Hata Mtoto Aisha kabla ya kubikiriwa na Mtume Muhammad (S.A.W) pia yupo hapo.

We nijibu kwanza:

Je huyu Bibi yeye atapata zawadi gani Akhera ikiwa wengine watazawadiwa Mabikira 72?

Ningeweza kukujibu lakini kwa heshima na huzuni juu ya Msiba wa Huyo Marehemu Bibi na Mama yetu mpendwa pia heshima ya Mzee Mohamed Said aliyeleta huu Uzi, navuta Subira, na hapa ndipo nimepata jibu la ukafiri wako uliojinasibu kwamba unao, lugha zako zinatosha kukupambanua kwamba wewe sio tu ni kafiri mbobezi bali ni kiranja wao.

Ł„Ų¹Ł†Ų© Ų§Ł„Ł„Ł‡ Ų¹Ł„ŁŠŁƒ
 
Hata akiwa hedhini aliendelea kufundisha? Au siku za hedhi alimwachia Nani darasa?
Mkuu!!!

Huyu anaweza kuwa sawa na Bibi yako au mama yako mpe heshima yake hata kama hukubaliani na mwandishi basi angalao onyesha heshima kwa huyu mama, laana siyo lazima akutamkie mzazi wako tunazipata kutokana na tunavyotumia viungo vyetu kuwasema wengine.

Wakristo hatujafunzwa hivyo ndugu yangu,nisamehe kwa kukurekebisha.
 
Kichaa...
Kanumba kazikika lakini maiti yetu iliitikiwa si haba.
Sheikh kazi unayo na pia usichoke, Mungu atakulipa kwa kutoa darsa bila khiyana. Usichoke, kadri dharau zinavyokuja, ndivyo Mwenyezi Mungu anakujaza majibu yenye hekima, busara na unyenyekevu wa hali ya juu. Hiyo ndiyo tofauti kubwa uliyonayo. Wengi wetu humu jukwaani tunajaa ghadhabu na pupa. Hapa sie wengine hupenda kusoma mada zako kwa kuwa pamoja na kuelimika lakini unatupatia darsa zuri la jinsi ya kukabiliana na ghadhabu, kejeli na dharau. Pia, wengine wetu hupenda kusoma na kufuatilia nyuzi zako ili tujifunze hicho ulichonacho, kinatoa mwanga mpevu. Hakika, Mungu aendelee kukupa umri na maarifa.
 
Hakika mzee Mohammed ni mtu ambae kweli unaijua dini... japo mimi ni mkristo lakini naomba niwe na hekima kama yako.. maana unakashfiwa, unatukanwa na maneno mbalimbali ya kejeli lakini mzee Mohammed sijawah kukuona unamjibu mtu kwa ghadhabu wala hasira, Mungu akuzidishie uheri mwingi ili tuendelee kufaidi hekima yako hapa duniani na Jf.
Mbassa,

Amin.
 
Sheikh kazi unayo na pia usichoke, Mungu atakulipa kwa kutoa darsa bila khiyana. Usichoke, kadri dharau zinavyokuja, ndivyo Mwenyezi Mungu anakujaza majibu yenye hekima, busara na unyenyekevu wa hali ya juu. Hiyo ndiyo tofauti kubwa uliyonayo. Wengi wetu humu jukwaani tunajaa ghadhabu na pupa. Hapa sie wengine hupenda kusoma mada zako kwa kuwa pamoja na kuelimika lakini unatupatia darsa zuri la jinsi ya kukabiliana na ghadhabu, kejeli na dharau. Pia, wengine wetu hupenda kusoma na kufuatilia nyuzi zako ili tujifunze hicho ulichonacho, kinatoa mwanga mpevu. Hakika, Mungu aendelee kukupa umri na maarifa.
Kwezisho,
Amin
 
Back
Top Bottom