TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

Duh, Simba katutoka... Roho ya marehemu ilale mahali pema peponi, Amina!
 

Duuu,kama ni kweli tunamuombea apumzishwe mahala Pena peponi,ameeen
 
Poleni sana ndugu zetu waislamu kwa msiba huo RIP Mufti Simba.
 

RIP Mufti
 
RIP Mufti Simba
Poleni familia.
Poleni Waislamu wote
Poleni viongozi wa Bakwata

NB: Tuepuke mizaha na kejeli za kidini kwenye misiba na hasa comments za kumdhalilisha marehemu huko ni kuifadhaisha familia yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…