asante best nashukuru sana ila mbona sikupati kwenye sim yako huko milimani ambako hupatikani best?
tumuombee binamu yetu charminglady anauguliwa na nduguye best
My cousin nilikuwa Mbeya now nipo Malawi but keshokutwa nitakuwa Mbeya tena nitakutafuta cousin wangu
pole zimfikie my sis charminglady na Mungu amponye mgonjwa wake
my cousin nilikuwa mbeya now nipo malawi but keshokutwa nitakuwa mbeya tena nitakutafuta cousin wangu
pole zimfikie my sis charminglady na mungu amponye mgonjwa wake