R.i.p meneja wa pombeKwa masikitiko makubwa Nimepata habari ya Msiba wa Seba Nungu. Aliyekuwa Meneja wa kinywaji Maarufu cha TBL kanda ya ziwa NZAGAMBA. Kilichotokea juzi tar.25.07.2018 RIP Seba. Wadau wa Bia wa Mtwara,Dar,Moshi na
Mwanza tutakukumbuka.
Tusker baridiiiiRest in peace manager wa kinywaji cha TBL! Sijui ni kinywaji gani hiki?
Unajua Mwanza wanaita jiji tu ila ni kijiji maana karibia wote wanajuana hivyo mleta mada amehisi watu wote tunamjua huyo menejaHii habari imeletwa kwa kukimbizwa kana kwamba wote tunamfahamu vema.
kawaida ya wapiga maji, alikuwa anawahi bia kabla hazijaganda.Hii habari imeletwa kwa kukimbizwa kana kwamba wote tunamfahamu vema.
Marehemu Seba Nugu CharlesPicha ya meneja enzi za uhai wake tafadhali.
Wee,. Cheti gani ?Bila shaka driver hakuwa na cheti
Wee,. Cheti gani ?
Cha uderevaWee,. Cheti gani ?