TANZIA: Mama Mzazi wa mbunge Zitto Kabwe, Shida Salum afariki Dunia

Pumzika kwa amani mama! pole Mh.Zitto Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu..poleni wafiwa wote...
 
Ngoja tuendelee kuelimisha!
Ndugu iko hivi,taarifa hiyo kifo imeshaletwa hapa jukwaani kwahiyo wewe ilikubidi kuutafuta huo uzi ukatoe pole zako kule na sio kuanzisia uzi mahsusi kwa ajili yako tu ya kutoa pole.
Au unataka michango gani kwenye huu uzi wako.
Rekebisha hiyo,leo nimekuelimisha kesho nitakutukana.

Daah mkuu pole sana kwa stress kama ni kutukana tu we tukana uwezavyo tusi gani ambalo litakuwa jipya labda sijawahi kulisikia au ukitukana litanichubua ngozi au?haya uwanja wako tukana uwezavyo mkuu nakuruhusu kwa roho nyeupe.
 
Wakuu, tunaenda wapi ? Kwani kumpa pole mtu kuna ubaya gani ? Mimi nampa pole Zitto kwa kufiwa,
 
Mazishi lini na saa ngapi? Yanafanyika wapi? Msiba upo wapi tukatoe rambirambi?
 
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape nguvu na faraja wafiwa katika kipindi hiki kigumu kwao.
Sio maneno yako haya.kuna mtu ame hack account yako
 
Back
Top Bottom