Tanzia: Kwa Wale Wa Ilembula Someni Hapa

Tanzia: Kwa Wale Wa Ilembula Someni Hapa

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,585
Reaction score
11,269
Bibi Lydia Ananidze Se Bange, Mkazi Wa Ilembula Amefariki Dunia Jana Asubuhi. Bibi Huyu Anatoka Ukoo Mashuhuri Sana Katika Mji Wa Ilembula Ukoo Wa Akina Bange. Alizaliwa Mwaka 1930 Na Kifo Chake Ni Pigo Kwa Wana Ilembula Wote. Tukumbuke Mwaka Juzi Wakati Wa Kifo Cha Mdogo Ake Spika Wa Bunge Ana Makinda Aliahirisha Mkutano Na Wana Ilembula Ili Ahudhulie Mazishi. Kaka Yake Azarea Bange Alizikwa Ludewa Ambapo Ndipo Yalipo Kuwa Makazi Yake Ya Kudumu. Se Bange Ni Mtoto Wa Mchungaji Ananidze Bange, Kati Ya Wachungaji Mashuhuri Wa Kanisa Letu Kongwe, Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Amen.
 
Back
Top Bottom