Tanzia: Kocha Sylvester Marsh hatuko nae tena

Tanzia: Kocha Sylvester Marsh hatuko nae tena

Habari za mchana huu,nipo kwenye viwanja vya shule ya msingi Mirongo this tyme kumuaga shujaa wa soka kwa mkoa wa Mwanza na aliyekuwa kocha msaidizi wa taifa stars Mr Marsh,kiukweli watu wamejitokeza na ukisikia salam za watu walokuwa wanamfahamu kiukweli tumepoteza mdau muhimu wa soka hapa nchini...lakini cha kujiuliza tulistahili kumuaga kwa jinsi hii...........
 
Huyu hakuwa na nyumba kwa nini mnamuagia uwanjani?
 
Ndio nani huyo? haya poleni ila hukuwa sahihi kusema
RIP we sema alazwe mahala panamstahili iwe peponi au motoni.
 
Anaagiwa hapo uwanjani kwa sababu ndo uwanja aliokua anafanyia kazi yake ya ukocha.ni sehemu ambayo marsh academy ndo inafanyia mazoez kwa hyo kuna historia kubwa sana kwake hapo.pili ni sehemu pana na kubwa kwa wadau mbalimbali kujitokeza tofauti na kwake ambapo n pafinyu kuweza ku accomodate watu wengi hv...
Mungu alitoa na yeye ametwaaa..
 
R.I.P Marsh, ulibadilisha soka la Tanzania kupitia vijana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom