Huyu jamaa c alioa mku wa wilaya!! Alikuwa jembe sn yani.R I P
Huyu jamaa c alioa mku wa wilaya!! Alikuwa jembe sn yani.R I P
ukimuona tu usoni Marsh alikuwa mpole mtaratib na mkimya. Rest in peaceBwana ametoa, Bwana ametwaa. jina la Bwana lihimidiwe.
Umeondoka na upole wako, na huruma zako, na busara zako.
Wafiwa mungu awape nguvu.