Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,753
- 218,350
Kiongozi huyo ndugu Joel Kafuge amepatwa na mauti mkoani Morogoro kutokana na ajali ya gari .
Taarifa hii imethibitishwa na RPC mpya wa Morogoro kamanda Hamisi Issa
Bwana alitoa na Bwana ametwaa , jina la Bwana lihimidiwe
=====
Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala, Bw. Kafuge Joel amefariki dunia kwenye ajali ya gari iliyotokea leo mkoani Morogoro. RPC Morogoro Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.