Huyu hajawahi toa Tamko lolote kuhusu EL?
Huyu hajawahi toa Tamko lolote kuhusu EL?
Mh...huyu si ndio alimpiga makonde Warioba na kumtusi EL.Makonda je, yu mzima?
Natamani kifo hiki kiwafundishe wale mnaoombea wengine kifo. Alikuwa mwenye afya kuliko wengine lakini kawaacha