Huyu hajawahi toa Tamko lolote kuhusu EL?
Hivi hamjawahi kuona mtu anaoza akiwa hai?
Huyu hajawahi toa Tamko lolote kuhusu EL?
Duh acha afe tuAlimtukana Lowasa kwa kusema ikulu hakuna bajeti ya mazishi,tunajisahau sana kwa kuwanyooshea wengine vidole wakati hatma zetu ziko mbele ya mwenyezi Mungu
atakuwa bwana mapush up huyo!!
Duh acha afe tu
R.I.P kaka mbele yako nyuma yetu umemfuata mama ukimwacha mzee chale ktk wakati mgumu sana. mwanao seba na wadogo zake watakulilia sana.