TANZIA: Katibu wa CCM Ilala afariki Dunia

TANZIA: Katibu wa CCM Ilala afariki Dunia

Msiba hauna itikadi

Poleni wafiwa Pumzika kwa Amani Katibu....
 
R.I.P kaka mbele yako nyuma yetu umemfuata mama ukimwacha mzee chale ktk wakati mgumu sana. mwanao seba na wadogo zake watakulilia sana.
 
RIP Kiongozi.

Poleni wafiwa wote na nyie mlioguswa na msiba huu.


cryingendofmylife.gif

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Katibu wa CCM Ilala Bwn. Ernest Chale amefariki Dunia jana usiku kutokana na maradhi.Katibu huyo alifariki jana saa5 usiku alipokuwa amelazwa kwa matibabu katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili...

Bwana alitoa na bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe!

mungu akiamu weacha
 

Attachments

  • 1443256829218.jpg
    1443256829218.jpg
    36.6 KB · Views: 864
Ndo maana imeandikwa KAZI YA MUNGU HAINA MAKOSA. Usikute ccm wangemtumia jamaa kupiga goli la mkono.
 
Maisha ya mwanadamu ni kama maua, yachanua yapendeza mwisho wake hunyauka zaburi 103:15, 1 Petro 1:24. Eee binadamu, mbona unakuwa na kiburi sana, mbona unaringa na kudharau wengine, mbona unaringia hiyo afya yako utadhani ni juhudi zako mwenyewe? Hujui afya ni zawadi kutoka kwa Mungu? Waweza kujiona mzima, ukatukana wengine, Kumbuka kwa kufanya hivyo unaangilia kazi ya MUNGU. Waweza kuijiona una nguvu, hata kuweza kukumbia marathon, kupiga pushup mia moja, kwenda gym daily, saa usiyodhani Mungu anakuambia eee mpumbavu, usiku huu wanaitaka roho yako.
 
RIP Kiongozi.

Poleni wafiwa wote na nyie mlioguswa na msiba huu.



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!



😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂


Msibani hapa sitakiwi kucheka...but hii lazima nicheke...!!

😂😂😂😂
 
Jaman ya Mungu ni mengi sana.
Tusiwe watu wa kuponzwa na midomo unaweza kutenda dhambi kwa mawazo, kwa maneno, kwavitendo na kwakutotimiza wajibu kwahyo mwenye uwezo wa kutoa hukumu ni Mungu pekee.

Mungu huwa ana mipango yake ambayo mwanadamu hawezi kuijua.

Kitendo cha mtu kufa wala sio adhabu bali ni andiko linatimia.
Unaweza kufa mapema kumbe mungu anakuepusha na mateso, majuto na mahangaiko ambayo yangeweza kukutokea huko mbele yako.

Unaweza kuishi kwa mda mrefu hapo yawezekana Mungu anataka kukuonesha mengi ambayo hukuyajua au hukuamin kama yanaweza kukutokea ktk maisha yako.
......................... ........................ ...................
Kuna watu miongon mwetu sisi tuliohai hii leo tunaweza kufurahia kuondoka kwa wenzetu na kuona wanapunguza idadi ya kura au tunaona wenzetu wanakufa kwa maneno ya dhihaka lakn hatujui mpango wa Mungu. Huwez jua kuwa Tanzania hii itakuwa salama mpaka lin kuna kipindi ambacho nafsi inaomba ikumbwe na umauti lakn ule umauti ukawa unakukimbia.

Mungu anaweza kutuacha hai ili baade tuutambue ukuu wake au wale viongoz dharim,wanafki na wasio na hofu juu ya mungu wamtambue kuwa kweli mungu yupo.

Ndio maana hata yesu aliwaambia wale wanawake waliokuwa wanamlilia'' msilie juu yangu bali jililieni nyinyi pamoja na watoto wenu'' aliongea hvyo kwasababu alijua yeye ndio anamalizia mateso yake lakn baadae hayo mateso yatabaki kwetu.

Msipende kujitafutia mambo yasiyo wahusu. Sku zote mwanasiasa sio mkweli na yupo kwaajili ya manufaa binafs. Wakolon walianzisha siasa kwa manufaa yao na waafrika wachache.
 
Hivi hamjawahi kuona mtu anaoza akiwa hai? Au hamjawahi kuona mtu anaomba afe lakn kifo kinamkataa?

Acheni kushabikia mambo ambayo yapo nje ya uwezo wetu
 
Back
Top Bottom