Tanzia: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Mukama afiwa na baba yake mzazi

muhamar Gadaf

JF-Expert Member
Jul 5, 2017
1,054
994
Mzee huyo Chilemeji Maendeleo Mukama mwenye umri wa takribani miaka 94 amefariki jana katika hospital ya Kibara Bunda mkoani Mara.

Taarifa/ ratiba kamili italetwa hapa hapa jamvini

Nyamhanga utusakilye.
 
Amekula chumvi vya kutosha..at 94 he was about to be a centenarian after being a septuagenarian for quite long
 
Back
Top Bottom