TANZIA: Karani wa Baraza la Mawaziri, Hassan Shebuge afariki dunia

Mungu amlaze pema peponi.

Marehemu SIO Katibu wa baraza la Mawaziri. By law, Katibu wa cabinet ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Huyu, for all we know, alikuwa hana cha mno cha kufanya zaidi ya kuleta, kuzisubiri na kuzirudisha Biblia na Kuruani takatifu za kuapishia watu, which of course is a full time job in and of itself. Nusu ya muda Rais wa Tanzania ni kufanya na kutengua teuzi.
Kifupi no kwamba alikuwa Messenger wa Cabinet au Ikulu.
State Agent simply to say
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yeye ni mhandishi na mratibu wa vikao vy baraza la mawaziri

Mhandishi wa vikao? Duuu! Ulitaka kusema engineer wa cabinet?

Mwingine kasema alikuwa ni "state agent simply to say." Jesus Christ!

Kifupi marehemu alikuwa, for what we all saw, mratibu wa shughuli za viapo Ikulu.

Katibu wa cabinet ni Chief Secretary Kijazi, by law. It is that simple. Rais alihitaji msaidizi wa michakato ya viapo kwa sababu nusu ya muda wa Rais wa Tanzania unatumika kama afisa uajiri na viapo.
 
Kesho ' Wakazi ' wa ' Mbags ' mjiandae ' Kisaikolojia ' kwani kutakuwa na ' Bonge ' la foleni kwani kuna uwezekano mkubwa ' Taita ' wa ' Kisukuma ' akawepo amesharudi kusalimia Ndugu na Jamaa huko Geita na Mwanza.
Pombe sidhani kama atakuwepo, si mhudhuriaji wa mambo hayo kiviiiile!
 
Mungu amlaze pema peponi.

Marehemu SIO Katibu wa baraza la Mawaziri. By law, Katibu wa cabinet ni Katibu Mkuu Kiongozi.

Huyu, for all we know, alikuwa hana cha mno cha kufanya zaidi ya kuleta, kuzisubiri na kuzirudisha Biblia na Kuruani takatifu za kuapishia watu, which of course is a full time job in and of itself. Nusu ya muda Rais wa Tanzania ni kufanya na kutengua teuzi.
Aisee umei-underate kazi ya marehemu but shukran ndio reality
 
Back
Top Bottom