DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
apumzike kwa amani kamanda we2,atakae fuata ni dr,slaa maana hajatulia
unahitaji ukapimwe akili.
apumzike kwa amani kamanda we2,atakae fuata ni dr,slaa maana hajatulia
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Sikonge ndg. Mfamao ameaga dunia jana usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya ghafla.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe ..amina!

Siku za kuishi duniani zimehesabiwa na Mungu mwenyewe na wala hakuna awezaye kuzuia roho ya mtu isitoke. Namwomba Mungu awafariji wafiwa.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Rip Kamanda ,Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Sikonge ndg. Mfamao ameaga dunia jana usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya ghafla.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe ..amina!
Wanaosema kuishabikia CCM lazima uwe na akili za maiti hawajakosea kwa hiki ulichokiandika una akili za MAITIapumzike kwa amani kamanda we2,atakae fuata ni dr,slaa maana hajatulia