Tunakushukuru mkuu kwa kutujulisha hiyo habariAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Sikonge ndg. Mfamao ameaga dunia jana usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya ghafla.
Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe ..amina!
Mkuu msamehe ebu angalia kwanza hiyo ID yakeUgonjwa wa ghafra ndiyo upi?
Ameeeeeen Ameeeeeenapumzike kwa amani kamanda we2,atakae fuata ni dr,slaa maana hajatulia
Mkuu kwani huyo kubwa jinga ndiyo ataishi milele?Unaongozwa na akili kidogo sana ndg, hatujui zamu zetu waweza kuwa wewe!...ujinga huwa tunauficha unapozungumza juu ya msiba, una umari gani au kubwa jinga?...