Tanzia: Kada wa CHADEMA afariki dunia

Tanzia: Kada wa CHADEMA afariki dunia

Egwugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2011
Posts
17,558
Reaction score
8,551
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Sikonge ndg. Mfamao ameaga dunia jana usiku wa kuamkia leo kwa maradhi ya ghafla.

Bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe ..amina!
 
amina.Alazwe mahala pema peponi
Sikonge upo?
 
Last edited by a moderator:
aliyekuwa mwenyekiti wa chadema wilaya ya sikonge ndg. mfamao ameaga dunia jana ucku wa kuamkia leo kwa maradhi ya ghafra.. bwana alitoa na bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe ..amina!

Pole wafiwa but siku hizi Kuna ugonjwa unaitwa maradhi ya gafla?
 
apumzike kwa amani kamanda we2,atakae fuata ni dr,slaa maana hajatulia

Unaongozwa na akili kidogo sana ndg, hatujui zamu zetu waweza kuwa wewe!...ujinga huwa tunauficha unapozungumza juu ya msiba, una umari gani au kubwa jinga?...
 
Kalale pema Kamanda....Kazi yako katika ukombozi wa nchi hii umeifanya ipasavyo...Mungu akupokeee KATIKA MAKAO YAKE YA MILELE...Amina
 
Back
Top Bottom