I Independent Voter JF-Expert Member Jan 25, 2012 279 71 Feb 3, 2012 #63 salalee kumbe jk ana kaumagomeni kidogo...
muwaha JF-Expert Member May 13, 2009 740 148 Feb 3, 2012 #64 atatue mgomo wa madaktari kwanza kwa kuwalipa chao, ndipo tumpe pole!
manenge JF-Expert Member Apr 30, 2008 279 17 Feb 3, 2012 #65 chatu dume said: Ni kweli msiba upo mtaa wa Jaribu na tosheka, magomeni nyumbani kwao JK, nimepita leo asubuhi kilichonishangaza, hiyo mitaa imeparuliwa na greda imekuwa mizuri sana hakuna mabonde. Pole sana Mkuu JK. Click to expand... Poleni sana kwa msiba huo
chatu dume said: Ni kweli msiba upo mtaa wa Jaribu na tosheka, magomeni nyumbani kwao JK, nimepita leo asubuhi kilichonishangaza, hiyo mitaa imeparuliwa na greda imekuwa mizuri sana hakuna mabonde. Pole sana Mkuu JK. Click to expand... Poleni sana kwa msiba huo