Tanzia: JK kafiwa na mtoto wa dada yake

Status
Not open for further replies.
atatue mgomo wa madaktari kwanza kwa kuwalipa chao, ndipo tumpe pole!
 
Ni kweli msiba upo mtaa wa Jaribu na tosheka, magomeni nyumbani kwao JK, nimepita leo asubuhi kilichonishangaza, hiyo mitaa imeparuliwa na greda imekuwa mizuri sana hakuna mabonde.
Pole sana Mkuu JK.

Poleni sana kwa msiba huo
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom