Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 5,398
- 6,908
Majaji wa huku Wana la kujifunza
Kuna Yule hakimu mpumbavu alimfunga mama mmoja Njombe miaka 30 kisa nyama ya swala kilo moja alaaniwe mbwa yuleMajaji wa huku Wana la kujifunza
Alizingatia sheria inavyotaka lakini - nyara za serikali.Kuna Yule hakimu mpumbavu alimfunga mama mmoja Njombe miaka 30 kisa nyama ya swala kilo moja alaaniwe mbwa yule
Acha ujinga mbuzi wewe mbona ndugu wa Rostam au Yule mbunge wenu wa Shinyanga mliwaachia au Sheria zenu ni kwa masikini Tu?Alizingatia sheria inavyotaka lakini - nyara za serikali.
Endelea na matusi ukidhani una hatimiliki ya kutukana humu. Pinga kwamba hakuhukumiwa kwa mujibu wa sheria na sio kuja na hisia zako humu. Ala!Acha ujinga mbuzi wewe mbona ndugu wa Rostam au Yule mbunge wenu wa Shinyanga mliwaachia au Sheria zenu ni kwa masikini Tu?
Miaka aliyoishi inatosha Kaka, kama chumvi nyingiApumzike aise
Cancer ya kongosho ni hatari sana
Ova
Jumlisha umri wake.2025-1936=Miongo mingi sana.Apumzike aise
Cancer ya kongosho ni hatari sana
Ova