Tanzia: Idarous Yusuf Diwani wa Mvuleni Lindi(CUF), afariki dunia

Hamidu Bobali

New Member
Mar 7, 2018
1
1
Screenshot_20190309-133657~2.png

Idarous Yusuf Manzi diwani wa Kata ya Mvuleni jimbo la Mchinga kupitia chama cha Wananchi CUF, amefariki dunia leo tarehe 09/03/2019 Katika Hospital ya Hinud Madal Dar Es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya Kifua.

Mazishi yatafanyika kesho tarehe 10/03/2019 katika Makaburi ya Kijijini kwao Kijiweni Mchinga Lindi.

Mungu amuweke Mahali pema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
R.I.P kamanda.
 
Katika Hospitali ya Hindu Mandal ***
Poleni sana CUF, Pole familia, Pole ya kupoteza!
 
Back
Top Bottom