TANZIA: Herbert Nyange, wakili nguli nchini afariki dunia

TANZIA: Herbert Nyange, wakili nguli nchini afariki dunia

Aisee nawaza tuu wote ni wa Tasnia ya sheria afu wote ni chagga boys.

Wamekufa kipindi kimoja. Haya walale Pamoja na baba zao.
Waliijua sheria vizur sana! Ni pengo sana kwa tasnina ya sheria. Kisanga ana case laws nyingi zinazolejelewa leo na kesho. Tumebakiza UPE wa sheria!
RIP wote!
 
R.I.P Mwenyenzi Mungu ampokee mja wake na awape nguvu wafiwa...Raha ya milele umpe ehh Bwana
 
Sidhani kama alifikiria kuwa kuna siku atakuja kuwa na afya tete na akili tete, cC
 
Hapo katika picha ambatanishi ni kwenye library picture, Wakili Nyange akimwakilisha Augustine Mrema katika kesi miaka ya tisini..
Mzee hiyo ID name yako ni mambo ya ngoma za oldies au siyo? RIP Nyange
 
Hivi ni huyu Nyange aliyekuwa mume wa kwanza wa Anna mkewe wa sasa wa mzee mheshimiwa sana wa Wagogo. Pole sana mama na watoto wenu.
 
Rip Wakili Nyange...
Mwisho wa mwaka ni shughuli, mtihani kweli kweli...
 
Hapo katika picha ambatanishi ni kwenye library picture, Wakili Nyange akimwakilisha Augustine Mrema katika kesi miaka ya tisini..
Mungu amrehemu ampe pumziko jema,kama hii ni miaka ya tisini basi sio haba mzee alisogea sogea kidogo.pole sana kwa familia.
 
Back
Top Bottom