TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

Taswira za Msiba nyumbani kwa Filikunjombe, Mbagala Kijichi-Dar | Global Publishers

filikunjombe-3.jpg
filikunjombe-2.jpg

filikunjombe.jpg
 
Naam, kama waliweza kujenga shule kila kata, madawati yanawashinda nini? Fikiri.

Si kila kitu kungja kufanyiwa kama maiti.

Njoo kijijini kwetu ujionee, hakuna mwanafunzi asiye na dawati na kiti na hakuna chumba kimoja cha darasa kusoma zaidi ya watoto 45. Na hatukungoja Serikali, Serikali inatuletea walimu tu na kila Mwalim akija hataki kuondoka kwani tunampa eka mbili za kulima na tunamsaidia kulima, kupalilia na kuvuna na faida ni yake.

Hakuna Mwalimu asiye na nyumba ya kuishi kijijini kwetu na samani zote za ndani tunamchangia.

Lakini zote zina "inventory" anakabidhiwa rasmi ni mali ya kijiji na akiondoka anawacha vyote anaondoka na yake tu. Shamba ni lake lakini ardhi ni ya kijiji ili asiuze.

Hatungoji serikali, sisi siyo maiti.

Hao Walimu mnaoletewa na Serikali si ndio wapo kwenye Shule kama hizo.
 
Attachments

  • 1445021923115.jpg
    1445021923115.jpg
    33.5 KB · Views: 609
  • 1445021982733.jpg
    1445021982733.jpg
    21.1 KB · Views: 627
  • 1445022172612.jpg
    1445022172612.jpg
    6.2 KB · Views: 619
  • 1445022280202.jpg
    1445022280202.jpg
    22.7 KB · Views: 692
  • 1445022326287.jpg
    1445022326287.jpg
    16.6 KB · Views: 1,470
YAFAA TUMLAUMU ALIYEZIKODI CHOPA?.
kuigaiga kumeigharimu nchi sasa!.
Inauma saana kumpoteza mpiganaji kama deo,mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.
AMEN!.
 
nawapa pole sana wana Ludewa...ameanza Mchungaji Christopher Mtikila kutoka Kijiji Cha Milo....na sasa ni Deo Filikunjombe kutoka mitaa ya Mlangali ni juma baya sana kwa wana Kusini kwani hata Profesa Bangu wa Tumaini Iringa nae hatunae.. kwa wale wanaomfahamu au walisoma Tumaini University IringaKazi ya Mungu haina makosa
Jimbo la ludewa limepata wabunge Watano t uhuru, na wanne wamefariki wakiwa wabunge, mama baraka, kihaule, Crispin haule n horace kolimba, aliyehai ni stanley kolimba tuu
 
Naam, kama waliweza kujenga shule kila kata, madawati yanawashinda nini? Fikiri.

Si kila kitu kungja kufanyiwa kama maiti.

Njoo kijijini kwetu ujionee, hakuna mwanafunzi asiye na dawati na kiti na hakuna chumba kimoja cha darasa kusoma zaidi ya watoto 45. Na hatukungoja Serikali, Serikali inatuletea walimu tu na kila Mwalim akija hataki kuondoka kwani tunampa eka mbili za kulima na tunamsaidia kulima, kupalilia na kuvuna na faida ni yake.

Hakuna Mwalimu asiye na nyumba ya kuishi kijijini kwetu na samani zote za ndani tunamchangia.

Lakini zote zina "inventory" anakabidhiwa rasmi ni mali ya kijiji na akiondoka anawacha vyote anaondoka na yake tu. Shamba ni lake lakini ardhi ni ya kijiji ili asiuze.

Hatungoji serikali, sisi siyo maiti.

Hao Walimu mnaoletewa na Serikali si ndio wapo kwenye Shule kama hizo ambazo tayari mshaziwekea Madawati ya kutosha.
 
Attachments

  • 1445022663610.jpg
    1445022663610.jpg
    14.2 KB · Views: 679
  • 1445022759844.jpg
    1445022759844.jpg
    10.9 KB · Views: 666
  • 1445022854511.jpg
    1445022854511.jpg
    8.8 KB · Views: 669
  • 1445022919807.jpg
    1445022919807.jpg
    10.3 KB · Views: 653
YAFAA TUMLAUMU ALIYEZIKODI CHOPA?.
kuigaiga kumeigharimu nchi sasa!.
Inauma saana kumpoteza mpiganaji kama deo,mungu ailaze roho ya marehemu wote mahali pema peponi.
AMEN!.

Hakuna anekodi chombo cha usafiri ili kije kiue, kama unataka kulaumu chama, jua chama kilikodi chopa nne, ambazo zipo salama mpaka sasa, lkn pia uelewe huenda aliekodi ni marehemu mwenyewe, maana chopa ilikuwa na picha yake na ya mgombea urais, sasa unamlaumu aliezikodisha sikuelewi unamaanisha nini!!!
 
February m...ndege zote za ccm ziko ok

nm.....kweli kuna ajali watu qote wako.salama ila akuna.mawasiliano

umejuaje wako salama mnajua mnafanya watu wapuuzi hadi vitu muhimu so bad

ya dk hivyohivyo mnaambiwa hivi mnasema vile badae mnarudi hivi loh

nilijua kwenye kampeni tu hadi na nanii tunadangamya
 
UKAWA baada ya kushindwa SIASA na kuzisoma namba kuwa IKULU imeponyoka wameanza kuzusha habari za uongo na kutishia watanzania...... Ni Kwa Sababu hii NDIO TUNAIRUDISHA MADARAKANI CCM tena Kwa KISHINDO!

I can't imagine sura ilivyokushuka baada ya kuhakikishiwa kuwa its true. R.I.P Deo filijunjombe
 
Back
Top Bottom